WAZEE NI DHAHABU
WAZEE NI DHAHABU
Wazee ni hazina ya taifa. Wao walikuwapo, wapo na wataendelea kuwapo. Wao ndio waliojenga nchi yao, wakalinda maadili ya jamii, wakalea watoto wao na kuwaandaa kuwa watu wazima wenye manufaa kwa familia, jamii na taifa.…
About This Content
Wazee ni hazina ya taifa. Wao walikuwapo, wapo na wataendelea kuwapo. Wao ndio waliojenga nchi yao, wakalinda maadili ya jamii, wakalea watoto wao na kuwaandaa kuwa watu wazima wenye manufaa kwa familia, jamii na taifa. Kupitia kazi zao, busara zao na uzoefu wao, wameacha alama isiyofutika katika historia ya maendeleo ya binadamu. Katika kitabu hiki, mwandishi anachambua kwa kina nafasi ya wazee katika familia na jamii, jinsi walivyojenga taifa lao, walivyowalea watoto wao na walivyojiandaa kwa maisha ya uzeeni. Aidha, kitabu kinaeleza wajibu wa watoto wao, familia zao, jamii, serikali, taasisi za dini, sekta binafsi na asasi zisizokuwa za serikali katika kuhakikisha kuwa wazee wanaishi maisha marefu, yenye afya, heshima, furaha na matumaini.
Publication Details
| Category | UKUAJI NA MAENDELEO YA BINADAMU: MAKUZI, MALEZI, UJANA NA UZEE |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-745-4 |
| Date Published | 2026-08-04 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 198 |
| Chapters | 25 |
| Language | Swahili |
| Keywords | wazee |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader