WADUDU WANAOSHAMBULIA MIEMBE NA MAEMBE NA UDHIBITI WAKE
WADUDU WANAOSHAMBULIA MIEMBE NA MAEMBE NA UDHIBITI WAKE
Miembe na maembe hushambuliwa na aina nyingi za wadudu. Wingi wake hutegemea nchi na tabianchi yake. Katika nchi hii, kitabuni tumebainisha wadudu kumi na nne (14) ambao ndio wanaoleta madhara makubwa kwa miembe na maem…
About This Content
Miembe na maembe hushambuliwa na aina nyingi za wadudu. Wingi wake hutegemea nchi na tabianchi yake. Katika nchi hii, kitabuni tumebainisha wadudu kumi na nne (14) ambao ndio wanaoleta madhara makubwa kwa miembe na maembe wasipodhibitiwa. Wadudu hawa ni changamoto kubwa kwa kiimobiashara cha miembe. Kazi kubwa ya mkulima ni kuelewa kwa kina kila mdudu, tabia zake, madhara yanayosababishwa, dalili za uharibifu na njia za kumdhibiti asilete madhara. Ili kupunguza gharama ya kununua viuatilifu vya kemikali, matumizi ya viuatilifu hivi iwe ni chaguo la mwisho. Njia inayopendekezwa ni kutumia viuatilifu vinavyotokana na mimea au vitu vya asili.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-445-5 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2023 |
| Pages | 44 |
| Chapters | 3 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MATUNDA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader