UWAKILISHI MAHAKAMANI TANZANIA
UWAKILISHI MAHAKAMANI TANZANIA
"Haki ya Uwakilishi ni haki ya kisheria kwa mdaawa yeyote katika mahakama. Inahusiana na haki nyingine mbili ambazo ni Haki ya kusikilizwa na Haki ya uhuru binafsi. Ili usikilizaji wa kesi mahakamani uwe wa kaki, wadauw…
About This Content
"Haki ya Uwakilishi ni haki ya kisheria kwa mdaawa yeyote katika mahakama. Inahusiana na haki nyingine mbili ambazo ni Haki ya kusikilizwa na Haki ya uhuru binafsi. Ili usikilizaji wa kesi mahakamani uwe wa kaki, wadauwa wanapaswa wawe wanaelewa kinachofanyika. Jambo hili si rahisi kutokana na ugumu wa ufundi wa kisheria. Hata wafu wanaoelewa kwenye jamii zetu hupata utata wakiwa mahakamani. Hii ni kwa sababu h awakufundishwa taaluma hii. (Profesa Chris Maina Pet" katika kitabu chake kiitwacho Human Rights in Tanzania, Toleo la 1997, ukurasa wa 333). Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, (Sura ya 2 R.E. 2002) kwenye ibara ya inaonyesha kuwa, "Wakati Haki na Wajibu kwa mtu yeyote inapohitajika kufanyiwa maamuzi na mahakama au chombo chochote, basi, mtu huyo atakuwa na haki ya kupewa fursa ya kusikilizwa kwa ukamilifu _ "Fursa ya kuslkilizw•a kwa ukamilifu" inahusishwa na haki ya kuwakilishwa katika mahakama wakati mtu yeyote anapokuwa na shauri. Kwa hiyo, haki ya kuwakilishwa inatambuliwa kisheria. Katika jamii yetu, pamekuwapo na mkanganyiko wa uwakilishi katika mahakama zetu, hivyo, kusababisha wadau kutoelewa haki zao mahakamani. Lengo la mwandishi (pichani) la kuandlka kitabu hiki ni kumwelimisha msomaji utaratlbu unaopaswa kutumika ikiwa anahitaji mtu wa kumwakilisha Uwakilishi unaweza kuwa ama katika mashauri ya madai au katika kesi za jinai, lakini, utaratibu na sifa za mwakilishi huwa ni tofauti. Ni mategemeo ya mwandishi kuwa baada ya kusoma kitabu hiki, wananchi watafahamu haki zao ili waweze kupata haki inayotolewa na sheria.
Publication Details
| Category | SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-046-6 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2013 |
| Pages | 40 |
| Chapters | 15 |
| Language | Swahili |
| Keywords | UWAKILISHI MAHAKAMANI |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader