ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU ZA SHUGHULI ZA SHAMBA

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU ZA  SHUGHULI ZA SHAMBA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 20, 2026

UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU ZA SHUGHULI ZA SHAMBA

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Shamba ni sehemu ya ardhi ambamo mkulima anafanya shughuli za uzalishaji zifuatazo: • Ustawishaji wa zao moja au zaidi. • Na/au ufugaji wa aina ya mfugo mmoja au aina nyingi za mifugo: - Mifugo mik…

About This Content

Shamba ni sehemu ya ardhi ambamo mkulima anafanya shughuli za uzalishaji zifuatazo: • Ustawishaji wa zao moja au zaidi. • Na/au ufugaji wa aina ya mfugo mmoja au aina nyingi za mifugo: - Mifugo mikubwa, kama vile, ng’ombe wa maziwa, wa nyama au/na wa kazi. - Mifugo wadogo, kama vile, mbuzi, kondoo, nguruwe, sungura n.k. - Ndege, kama vile, kuku, bata, kanga, mbuni n.k. • Ufugaji wa Nyuki. • Ufugaji wa Samaki. • Ustawishaji wa malisho. • Ustawishaji wa miti ya aina mbalimbali. Aidha, kwenye sehemu hiyo ipo nyumba au majengo kwa matumizi mbalimbali, kama vile, kuishi yeye au wafanyakazi wa shamba, stoo mbalimbali, mazizi n.k. Kilimobiashara kina mtaka mkulima atunze Kumbukumbu ya shughuli mbalimbali zinaendeshwa kwenye shamba hilo. Kufanya hivyo kuna faida nyingi ambazo zimeelezwa kitabuni. Kitabu hiki ni cha lazimakwa wakulima wote ambao wameamua kuanza kilimobiashara cha aina yoyote ya kilimo, iwe ni ustawishaji wa mazao ya kilimo, ufugaji n.k.

Publication Details

Category Kilimo
Publisher TEPU
ISBN 978-9976-58-449-3
Date Published 2026-08-20
Publication Year 2024
Pages 12
Chapters 6
Language Swahili
Keywords kilimo
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content