ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Utengenezaji na Matumizi ya Mboleavunde

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
Utengenezaji na Matumizi ya Mboleavunde
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 10, 2026

Utengenezaji na Matumizi ya Mboleavunde

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Kitabu hiki kinahusu namna ya kutengeneza mboleavunde iliyo nzuri na namna ya kuitumia shambani. Mboleavunde ni mbolea inayotengenezwa na wakulima kutokana na masalia ya mimea na wanyama ambayo yameozeshwa na vid…

About This Content

Kitabu hiki kinahusu namna ya kutengeneza mboleavunde iliyo nzuri na namna ya kuitumia shambani. Mboleavunde ni mbolea inayotengenezwa na wakulima kutokana na masalia ya mimea na wanyama ambayo yameozeshwa na vidubini vilivyo katika rundo. Rundo hilo ni mchanganyiko wa masalia mengi ya mimea na wanyama na katika mahali padogo ambapo vitu hivyo huoza kwa muda mfupi. Kimuundo, rundo hilo limetengenezwa kutokana na tabaka za vitu vya kuozeshwa, samadi, majivu na udongo.

Publication Details

Category Agriculture
Publisher TEPU
ISBN 978-9976-98-217-6
Date Published 2026-08-10
Publication Year 2024
Pages 72
Chapters 6
Language Swahili
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content