UFUGAJI BORA WA SUNGURA
UFUGAJI BORA WA SUNGURA
Ufugaji Bora wa Sungura ni kitabu kinachoeleza kwa kina kanuni zote za ufugaji wa kisasa wa mnyama huyu. Sungura ni moja ya wanyama wadogo ambao ni rahisi kuwafuga. Nyama yao inafanana na nyama ya kuku. Ni nzuri na ina …
About This Content
Ufugaji Bora wa Sungura ni kitabu kinachoeleza kwa kina kanuni zote za ufugaji wa kisasa wa mnyama huyu. Sungura ni moja ya wanyama wadogo ambao ni rahisi kuwafuga. Nyama yao inafanana na nyama ya kuku. Ni nzuri na ina protini nyingi na viinilishe vingine. Ni tiba kwa watu wagonjwa, wazee na watoto dhaifu. Kitakuwa cha msaada mkubwa kwa wafugaji wapya na wa zamani, maofisa ugani, wanafunzi, wanavyuo na viongozi wa wananchi, hasa wa kwenye ngazi ya Vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Tarafa na Wilaya.
Publication Details
| Category | UFUGAJI WA KISASA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-017-6 |
| Date Published | 2019-09-25 |
| Publication Year | 2019 |
| Pages | 72 |
| Chapters | 10 |
| Language | Swahili |
| Keywords | UFUGAJI BORA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader