ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

UFAFANUZI WA SHERIA YA KUMILIKI ARDHI VIJIJINI TANZANIA

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2000 TZS
UFAFANUZI WA SHERIA YA KUMILIKI ARDHI VIJIJINI TANZANIA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

UFAFANUZI WA SHERIA YA KUMILIKI ARDHI VIJIJINI TANZANIA

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2000 TZS

Ufafanuzi wa Sheria ya Kumiliki Ardhi Vijijini Tanzania ni kitabu kilichoandikwa na mwandishi ambaye ni Mwanasheria, Wakili, Mwalimu na Mwandishi wa vitabu mwenye uzoefu. Kwa kutumia njia ya kuuliza maswali 83 juu ya vi…

About This Content

Ufafanuzi wa Sheria ya Kumiliki Ardhi Vijijini Tanzania ni kitabu kilichoandikwa na mwandishi ambaye ni Mwanasheria, Wakili, Mwalimu na Mwandishi wa vitabu mwenye uzoefu. Kwa kutumia njia ya kuuliza maswali 83 juu ya vipengele mbalimbali vya SHERIA YA ARDHI YA VIJIJI (Sura ya 114 R.E. 2002), mwandishi ambaye ni bingwa wa masuala ya Sheria ya Ardhi nchini Tanzania, anayajibu kama Mwalimu na Wakili kwa ufasaha na Kiswahili rahisi. Ardhi ni rasilimali na msingi mkuu wa maendeleo ya Watanzania. Ni kwenye ardhi wananchi wanapanda mazao, wanafugia, wanachimba madini, wanajenga n.k. Kwa bahati mbaya, ardhi ni rasilimali isiyoongezeka, lakini, wanaoihitaji wanaongezeka kila dakika. Kwa sababu hii, thamani yake inaongezeka wakati wote. Ardhi ni adimu na chanzo kikuu cha uhasama na migogoro. Kwa hakika, hiki ni kitabu muhimu na cha lazima kwa kila Mwanakijiji, Viongozi na Maofisa wa Vijiji, Kata, Wilaya na Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi.

Publication Details

Category SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-038-1
Date Published 2026-08-06
Publication Year 2023
Pages 180
Chapters 81
Language Swahili
Keywords ARDHI
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content