UANZISHAJI NA UTUNZAJI WA SHAMBA LA MAHARAGE WILAYANI NGAR
UANZISHAJI NA UTUNZAJI WA SHAMBA LA MAHARAGE WILAYANI NGAR
Uanzishaji na Utunzaji wa Shamba la Maharage Wilayani Ngara”, ni mwongozo wa kina uliotayarishwa kumsaidia mkulima kuelewa hatua zote muhimu za uzalishaji wa maharage kuanzia maandalizi ya shamba, uchaguzi wa mbegu bora…
About This Content
Uanzishaji na Utunzaji wa Shamba la Maharage Wilayani Ngara”, ni mwongozo wa kina uliotayarishwa kumsaidia mkulima kuelewa hatua zote muhimu za uzalishaji wa maharage kuanzia maandalizi ya shamba, uchaguzi wa mbegu bora, upandaji, matunzo ya shamba, udhibiti wa magonjwa na wadudu, hadi uvunaji, uhifadhi, usindikaji na masoko. Kimeandaliwa kwa mtazamo wa vitendo na kinaeleza mbinu bora za kilimo cha kisasa zinazoweza kuongeza uzalishaji na kupunguza hasara shambani. Aidha, kitabu kina uchambuzi wa gharama, mapato na faida kwa ekari moja kwa bei za kila mwaka ili kumwezesha mkulima kufanya maamuzi sahihi ya kiuchumi. Kitabu hiki ni nyenzo muhimu kwa wakulima, maafisa ugani, wanafunzi wa kilimo na wadau wa maendeleo ya kilimo hasa katika Wilaya ya Ngara na maeneo mengine yenye mazingira yanayofanana. Kwa kufuata maelekezo yaliyomo, mkulima anaweza kuongeza tija, kuboresha kipato na kuchangia usalama wa chakula katika jamii.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-736-2 |
| Date Published | 2026-08-20 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 67 |
| Chapters | 16 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kilimo |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader