Tokomeza Ukimwi
Tokomeza Ukimwi
Ni kitabu ambacho kinafafanua, kinafundisha na hata kutoa elimu, ushauri na wito kwa wadau wote nchini juu ya hatua madhubuti za kuchukua ili kudhibiti maambukizi ya VVU na UKIMWI, kupiga vita unyanyapaa na namna ya ku…
About This Content
Ni kitabu ambacho kinafafanua, kinafundisha na hata kutoa elimu, ushauri na wito kwa wadau wote nchini juu ya hatua madhubuti za kuchukua ili kudhibiti maambukizi ya VVU na UKIMWI, kupiga vita unyanyapaa na namna ya kuwatunza watu wenye VVU na watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi. Kimeandaliwa kwa lengo la kuhamasisha jamii, wakubwa kwa wadogo, ili kushiriki kikamilifu katika vita hii ya kupambana na kudhibiti maambukizi ya VVU na UKIMWI. Kwa hakika, mapambano dhidi ya ugonjwa huu hatari yanahitaji kufanyiwa marekebisho mengi zaidi. Jamii nzima inahitaji kulikubali tatizo hili na kuamua kwa dhati kulifanyia mageuzi. Hii ni pamoja na kutambua udhaifu, tabia na matendo yetu na hivyo kuamua bila haya kufuata njia sahihi za kuudhibiti. Ni lazima kubuni mbinu mbalimbali mbadala za kuhamasisha watu wote katika jamii ili kuepuka tabia na mienendo yote inayosababisha maambukizi ya UKIMWI. Huu ndio wajibu wetu sote. Ni wajibu wangu. Pia, ni wajibu wako wewe.
Publication Details
| Category | AFYA NA UHAI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-987-67196-0 |
| Publication Year | 2025 |
| Pages | 90 |
| Chapters | 7 |
| Language | Swahili |
| Keywords | magonjwa ,ukimwi |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader