ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Tokomeza Maralia

by Paschal N. Mchunda
Book Purchase + Subscription 2500 TZS
Tokomeza Maralia
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 18, 2026

Tokomeza Maralia

by Paschal N. Mchunda
Book Purchase + Subscription 2500 TZS

Tokomeza Malaria ni kitabu kilichoandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu muhimu juu ya ugonjwa huu hatari unaoua maelfu ya wananchi kila siku na jinsi ya kuutokomeza. Aidha, kitabu kimejaribu kufafanua, kufundish…

About This Content

Tokomeza Malaria ni kitabu kilichoandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu muhimu juu ya ugonjwa huu hatari unaoua maelfu ya wananchi kila siku na jinsi ya kuutokomeza. Aidha, kitabu kimejaribu kufafanua, kufundisha na kutoa ushauri au wito kwa jamii na serikali yake juu ya hatua madhubuti za kuchukua ili kuzuia na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huu. Ni matumaini yangu kuwa jamii nzima, yaani, wasomaji, asasi zisizo za serikali, serikali, taasisi na kadhalika,watatumia kitabu hiki kwa lengo la kuhamasisha jamii ili kuhakikisha mawazo na taaluma hii inaleta mapinduzi makubwa katika kudhibiti na kuzuia maambukizi mapya ya ugonjwa huo na hatimaye kuutokomeza kabisa nchini. Lazima tuikatae malaria. Tukatae kuizoea. Isitushinde. Tuishinde na kuitokomeza. SHUKU

Publication Details

Category AFYA NA UHAI
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-003-9
Date Published 2026-08-11
Publication Year 2013
Pages 50
Chapters 6
Language Swahili
Keywords Malaria
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content