Book
TAUSI NA KUNGURU
Book
Purchase + Subscription
2000 TZS
TAUSI NA KUNGURU
Book
Purchase + Subscription
2000 TZS
“Täusi na Kunguru” ni hadithi yenye mafunzo inayowaeleza watoto kuhusu uzuri, majivuno, wivu na umuhimu wa kujithamini. Kupitia matukio ya Tausi na Kunguru, msomaji anajifunza kuwa kila kiumbe ana thamani na uwezo wake …
About This Content
“Täusi na Kunguru” ni hadithi yenye mafunzo inayowaeleza watoto kuhusu uzuri, majivuno, wivu na umuhimu wa kujithamini. Kupitia matukio ya Tausi na Kunguru, msomaji anajifunza kuwa kila kiumbe ana thamani na uwezo wake wa kipekee. Hadithi hii inahimiza watoto kuepuka majivuno na kuwadharau wengine, bali kuthamini tofauti na vipaji vya kila mmoja.
Publication Details
| Category | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-88-336-3 |
| Date Published | 2020-04-03 |
| Publication Year | 2020 |
| Pages | 27 |
| Chapters | 1 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader