ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

SHUGHULI ZA KILA SIKU ZA ANNA

by Dogobert J. Munywambele
Book Purchase + Subscription 2000 TZS
SHUGHULI ZA KILA SIKU ZA   ANNA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

SHUGHULI ZA KILA SIKU ZA ANNA

by Dogobert J. Munywambele
Book Purchase + Subscription 2000 TZS

Shughuli za kila siku za Anna ni kitabu kinachoeleza Anna anavyofanya shughuli zake za kila siku kwa utaratibu mzuri. Shughuli hizi zimepangwa kufuatana na alfabeti. Kila herufi ya alfabeti inayo shughuli yake maalumu …

About This Content

Shughuli za kila siku za Anna ni kitabu kinachoeleza Anna anavyofanya shughuli zake za kila siku kwa utaratibu mzuri. Shughuli hizi zimepangwa kufuatana na alfabeti. Kila herufi ya alfabeti inayo shughuli yake maalumu kwa Anna na wenzake. Madhumuni ya kuandika kitabu hiki ni kufundisha maadili mema mtoto tukitilia maanani methali ya Kiswahili isemayo, “Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.” Nia ni maadili haya yawe mfano wa kuigwa na watoto wetu wakiwa bado wadogo. Kila mwisho wa ukurasa kuna swali la kujibu. Mwishoni mwa kitabu kuna zoezi. Walengwa wa kitabu hiki ni wanafunzi wa Shule za Msingi

Publication Details

Categories HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA, VITABU VYA WATOTO VYENYE MICHORO
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-67-149-6
Publication Year 2020
Pages 29
Chapters 25
Language Swahili
Keywords kids
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content