ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

SAMIA SULUHU HASSAN (2021 — 2030) Kazi Iendelee; Kazi na Utu Tunasonga Mbele, Mjenzi wa Mageuzi ya Uwazi, Ushirikiano na Uchumi Jumuishi

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
SAMIA SULUHU HASSAN (2021 — 2030) Kazi Iendelee; Kazi na Utu Tunasonga Mbele,  Mjenzi wa Mageuzi ya Uwazi, Ushirikiano na  Uchumi Jumuishi
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Sep 08, 2026

SAMIA SULUHU HASSAN (2021 — 2030) Kazi Iendelee; Kazi na Utu Tunasonga Mbele, Mjenzi wa …

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Kitabu hiki ni ushuhuda wa kihistoria wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa sita wa Tanzania. Kupitia kauli yake ya “Kazi Iendelee, Kazi na Utu” kitabu hiki kinaonyesha jinsi Rais Samia alivyofanikisha ushi…

About This Content

Kitabu hiki ni ushuhuda wa kihistoria wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa sita wa Tanzania. Kupitia kauli yake ya “Kazi Iendelee, Kazi na Utu” kitabu hiki kinaonyesha jinsi Rais Samia alivyofanikisha ushirikiano wa kitaifa, mageuzi ya uwazi, maendeleo ya uchumi jumuishi, miundombinu, nishati, utalii, sanaa na utamaduni huku akisisitiza uongozi wa kimaadili na mshikamano wa taifa. Hiki ni kitabu kwa ajili ya kila mzalendo, mwanasiasa, mwanafunzi, mtafiti na mtu yeyote anayependa kuelewa Tanzania ya sasa na mustakabali wake. Pia kitabu hiki kinatoa muhtasari kamili wa mageuzi, mafanikio, changamoto na dira ya Taifa chini ya Rais Samia.

Publication Details

Category MCHANGO WA MARAIS WA TANZANIA
Publisher TEPU
ISBN 978-9912-76-738-6
Date Published 2026-09-08
Publication Year 2026
Pages 144
Chapters 36
Language Swahili
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content