Book
SAA YA UKOMBOZI
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
SAA YA UKOMBOZI
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
Saa ya Ukombozi ni riwaya inayoudurusu na kuzulu uhuru na dhima nzima ya kuwa huru. Inaona shaka na uhuru wa baadhi ya nchi barani Afrika unaowanufaisha watawala waliojigeuza miungu pwamwe na walamba viatu wao. Watu wa …
About This Content
Saa ya Ukombozi ni riwaya inayoudurusu na kuzulu uhuru na dhima nzima ya kuwa huru. Inaona shaka na uhuru wa baadhi ya nchi barani Afrika unaowanufaisha watawala waliojigeuza miungu pwamwe na walamba viatu wao. Watu wa kawaida hawaruhusiwi kutia mkono kwenye deste nao wale halua.
Publication Details
| Category | Riwaya |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 789-9870-70-398 |
| Date Published | 2023-06-06 |
| Publication Year | 2023 |
| Pages | 178 |
| Chapters | 16 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Time to be free, Uhuru |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader