Rais Samia na Ajenda yake ya Nishati Safi ya Kupikia Tanzania na Afrika
Rais Samia na Ajenda yake ya Nishati Safi ya Kupikia Tanzania na Afrika
Rais Samia Na Ajenda Yake Ya Nishati Safi Ya Kupikia Tanzania Na Afrika Kitabu hiki “Rais Samia na Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Tanzania na Afrika” ni uchambuzi wa kina unaoangazia Ajenda ya Rais Samia Suluhu H…
About This Content
Rais Samia Na Ajenda Yake Ya Nishati Safi Ya Kupikia Tanzania Na Afrika Kitabu hiki “Rais Samia na Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Tanzania na Afrika” ni uchambuzi wa kina unaoangazia Ajenda ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuongoza mapambano ya kuhakikisha upatikanaji wa nishati safi, salama na rafiki kwa wapishi, hususani, wanawake wa vijijini na mjini na kuhifadhi mazingira Tanzania na bara la Afrika. Kupitia ukurasa wake wa uongozi, Rais Samia amegeuza changamoto ya mamilioni ya watu wanaotegemea kuni na mkaa kwa upishi kuwa ajenda ya maendeleo endelevu. Kitabu hiki kinachambua mikakati yake, sera za kitaifa na ushirikiano wa kikanda na kimataifa, pamoja na nafasi ya Tanzania kama mfano wa mabadiliko ya kijani barani Afrika. Kwa lugha nyepesi lakini yenye nguvu, kitabu hiki kinagusa: • Sababu za msingi zinazofanya nishati safi ya kupikia kuwa ajenda muhimu ya kiafya, kiuchumi na kimazingira. • Uongozi na maono ya Rais Samia katika kuhakikisha upatikanaji wa majiko banifu, gesi asilia na vyanzo vingine vya nishati safi ya kupiki kwa bei rafiki na nafuu. • Ushirikiano wa Afrika katika kufanikisha Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs). • Fursa, changamoto na mustakabali wa nishati safi ya kupikia kwa familia nyingi za barani Afrika.
Publication Details
| Category | MCHANGO WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9978-58-451-6 |
| Publication Year | 2025 |
| Pages | 183 |
| Chapters | 48 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Nishati safi ya kupikia |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader