Rais Samia na Agenda yake ya Kumtua Mama Ndoo ya Maji Kichwani Tanzania: Mafanikio lukuki mpaka sasa na Mpango Kabambe wa Kuwapatia Watanzania Wote Maji Safi na Salama Ifikapo 2030.
Rais Samia na Agenda yake ya Kumtua Mama Ndoo ya Maji Kichwani Tanzania: Mafanikio lukuk…
Rais Samia Na Ajenda Yake Ya Kumtua Mama Ndoo Ya Maji Kichwani Tanzania Sekta ya maji ni mhimili muhimu wa maisha ya kila mwanadamu na msingi wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Maji safi na salama ni haki ya msingi y…
About This Content
Rais Samia Na Ajenda Yake Ya Kumtua Mama Ndoo Ya Maji Kichwani Tanzania Sekta ya maji ni mhimili muhimu wa maisha ya kila mwanadamu na msingi wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Maji safi na salama ni haki ya msingi ya binadamu, lakini pia ni nyenzo ya uzalishaji katika kilimo, viwanda, huduma za afya na ujenzi wa uchumi wa Taifa. Kwa miaka mingi, wananchi wa Tanzania wamekuwa wakikabiliana na changamoto ya uhaba wa maji safi na salama, hali iliyosababisha wanawake na watoto, hasa wa vijijini, kubeba jukumu kubwa la kutafuta maji kwa umbali mrefu. Kauli maarufu ya “Kumtua Mama Ndoo ya Maji Kichwani” imebeba ndani yake dhamira kubwa ya kuondoa adha hiyo na kutoa heshima kwa mama na familia ya Kitanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu aingie madarakani mwaka 2021, ametoa kipaumbele cha pekee katika sekta ya maji. Dira yake imejikita katika kuhakikisha kila Mtanzania anapata maji safi na salama, mijini na vijijini, kwa gharama nafuu na umbali usiozidi meta 400. Kupitia mikakati ya serikali, uwekezaji mkubwa umefanyika katika miradi ya kitaifa na ya kimkakati ya maji, ikiwemo miradi ya kusambaza maji kutoka maziwa makuu, mito, visima virefu, na vyanzo vingine endelevu vya maji. Kitabu hiki kinahakiki safari ya mageuzi makubwa katika sekta ya maji chini ya uongozi wa Rais Samia, kikieleza historia ya upatikanaji wa maji Tanzania, changamoto zilizokuwepo, na mafanikio makubwa yaliyopatikana hadi sasa.
Publication Details
| Category | MCHANGO WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-477-6 |
| Date Published | 2026-06-08 |
| Publication Year | 2025 |
| Pages | 75 |
| Chapters | 18 |
| Language | Swahili |
| Keywords | rais samia na ajeda ya kumtua mama ndoo ya maji kichwani.mama |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader