ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

RAIS IDRIS ABDUL WAKIL 1985-1990

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
RAIS IDRIS ABDUL WAKIL 1985-1990
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 13, 2026

RAIS IDRIS ABDUL WAKIL 1985-1990

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Mhe. Idris Abdul Wakil, aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuanzia tarehe 24 Oktoba 1985 hadi 25 Oktoba 1990. Kipindi cha uongozi wake kilikuwa cha mpito na mageuzi muhimu katika historia ya…

About This Content

Mhe. Idris Abdul Wakil, aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuanzia tarehe 24 Oktoba 1985 hadi 25 Oktoba 1990. Kipindi cha uongozi wake kilikuwa cha mpito na mageuzi muhimu katika historia ya Zanzibar na Tanzania. Aliongoza katika kipindi ambacho Zanzibar na Muungano wa Tanganyika vilikuwa vinapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Huu ulikuwa wakati wa mageuzi ya kimfumo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), marekebisho ya sera za uchumi wa kijamaa kuelekea soko huria, pamoja na kuimarishwa kwa uhusiano wa Zanzibar na Serikali ya Muungano.

Publication Details

Category Uongozi
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-058-9
Date Published 2026-12-08
Publication Year 2026
Pages 119
Chapters 29
Language Swahili
Keywords RAIS IDRIS ABDUL WAKIL
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content