NGUZO ZA KILIMO
NGUZO ZA KILIMO
Nguzo za Kilimo ni kitabu kinachoeleza Nguzo za Kilimo kumi na tatu (13) zinazotakiwa kueleweka na kutimizwa ili kilimo kiweze kuwa cha kisasa, endelevu na mavuno yaongezeke sana ili hali ya…
About This Content
Nguzo za Kilimo ni kitabu kinachoeleza Nguzo za Kilimo kumi na tatu (13) zinazotakiwa kueleweka na kutimizwa ili kilimo kiweze kuwa cha kisasa, endelevu na mavuno yaongezeke sana ili hali ya maisha ya wakulima iwe nzuri zaidi. Nguzo hizo ni hizi zifuatazo: • Wakulima • Ardhi • Hali ya nchi • Sera za Chama kinachotawala • Serikali • Vivutio vya wakulima • Masoko ya mazao na mfumo wa uuzaji • Usafirishaji • Mikopo ya kilimo • Sayansi na Teknolojia • Kupatikana kwa pembejeo na zana za kilimo • Elimu • Upangaji mzuri wa uchumi
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-009-1 |
| Date Published | 2026-08-20 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 65 |
| Chapters | 13 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kilimo |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader