NANI KAVUNJA GILASI?
NANI KAVUNJA GILASI?
Katika hadithi hii nani kavunja Gilas? wakuu ni Mzee Kaija na mkewe Bibi Kipungu, wajukuu wao watatu Neema, Martha na Shukuru, Paka na Jogoo. Wote wanahusishwa katika kuvunjika kwa Gilasi. Kila aliyeulizwa na Bibi Ki…
About This Content
Katika hadithi hii nani kavunja Gilas? wakuu ni Mzee Kaija na mkewe Bibi Kipungu, wajukuu wao watatu Neema, Martha na Shukuru, Paka na Jogoo. Wote wanahusishwa katika kuvunjika kwa Gilasi. Kila aliyeulizwa na Bibi Kipungu, kuhusu aliyevunja Gilasi, alimsakazia mwenzake. Majibu aliyopewa yalimchanganya Bibi Kipungu, nusura awaadhibu wajukuu wote watatu. Je, walinusurika vipi na nani hasa kavunja Gilasi? Soma kitabu ili upatejibu.
Publication Details
| Categories | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA, VITABU VYA WATOTO VYENYE MICHORO |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-124-3 |
| Date Published | 2021-04-22 |
| Publication Year | 2021 |
| Pages | 18 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader