Nani Maarufu?
Nani Maarufu?
Nani maarufu? Ni hadithi inayosimuliwa katika mashairi na inahusu Falme mbili: Ufalme wa Ndege na Ufalme wa Wanyama. Kiongozi wa Ufalme wa Ndege anaitwa Mfalme Mbuni. Kiongozi wa Ufalme wa Wanyama anait…
About This Content
Nani maarufu? Ni hadithi inayosimuliwa katika mashairi na inahusu Falme mbili: Ufalme wa Ndege na Ufalme wa Wanyama. Kiongozi wa Ufalme wa Ndege anaitwa Mfalme Mbuni. Kiongozi wa Ufalme wa Wanyama anaitwa Mfalme Twiga. Katika Ufalme wa Ndege kulitokea haja ya kumpata ndege maarufu. Ili kutoa haki kwa washindani, Mfalme Mbuni alimwomba Mfalme mwenzake Twiga ateue Jopo la majaji ili lisimamie na kuchagua mshindi. Jopo lilichaguliwa.
Publication Details
| Categories | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA, VITABU VYA WATOTO VYENYE MICHORO |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-128-1 |
| Date Published | 2019-03-04 |
| Publication Year | 2019 |
| Pages | 45 |
| Chapters | 33 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader