Mzee Alfabeti
Mzee Alfabeti
Mzee Alfabeti ni kitabu kinachofundisha watoto Alfabeti kwa njia ya utenzi. Kinaanza kwa watoto kukutana na mzee aitaye Alfabeti, wakati wakitoka shuleni. Wanamwamkia na kumwomba maembe. Ili aweze kuwapa maembe, …
About This Content
Mzee Alfabeti ni kitabu kinachofundisha watoto Alfabeti kwa njia ya utenzi. Kinaanza kwa watoto kukutana na mzee aitaye Alfabeti, wakati wakitoka shuleni. Wanamwamkia na kumwomba maembe. Ili aweze kuwapa maembe, mzee Alfabeti anawakaribisha nyumbani kwake ili wakutane na watoto wake, wanaoitwa kwa majina mbalimbali. Je, ni watoto gani hao? Je Mzee Alfabeti atawapatia watoto hao maembe? Majibu ya maswali haya yamo kitabuni
Publication Details
| Categories | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA, VITABU VYA WATOTO VYENYE MICHORO |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-123-6 |
| Date Published | 2025-03-02 |
| Publication Year | 2025 |
| Pages | 2 |
| Chapters | 1 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader