MWONGOZO WA KILIMOBIASHARA CHA MAEMBE
MWONGOZO WA KILIMOBIASHARA CHA MAEMBE
Kitabu hiki kinatoa elimu juu ya ukulima bora na wakitaalamu ambapo kitabu kimechambua mambo mbalimbali yakiwemo: Asili, familia na kuenea kwa miembe duniani, Changamoto za kilimo cha miembe, Sayansi ya muundo wa muembe…
About This Content
Kitabu hiki kinatoa elimu juu ya ukulima bora na wakitaalamu ambapo kitabu kimechambua mambo mbalimbali yakiwemo: Asili, familia na kuenea kwa miembe duniani, Changamoto za kilimo cha miembe, Sayansi ya muundo wa muembe, Muundo wa mbegu na embe kilishe, Faida za muembe na maembe, Aina bora za miembe na maembe na sifa zake zinazofaa kustawisha, kibiashara.,mahitaji ya kimazingira kwa ustawishaji wa miembe kibiashara, Utunzaji bora wa shamba la miembe, Kiasi cha mbolea kinahitajiwa kustawisha miembe, Mahitaji ya maji ya miembe na umuhimu wa umwagiliaji, Kufundisha miembe michanga kukua inavyotakiwa, Upogoaji bora wa matawi ya miembe,Sababu za Maua na Maembe machanga kudondoka na njia za udhibiti, Tatizo la kupasuka kwa maembe shambani kabla ya hayajapevuka, Mparanganyiko katika miembe na Udhibiti wake, Visumbufu vya Miembe na Udhibiti wake, Uvunaji, Upangaji madaraja, Hifadhi na Uuzaji.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-428-8 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2022 |
| Pages | 229 |
| Chapters | 29 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MATUNDA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader