MWONGOZO WA KILIMO BORA USINDIKAJI NA BIASHARA YA MATUNDA
MWONGOZO WA KILIMO BORA USINDIKAJI NA BIASHARA YA MATUNDA
Kitabu hiki ni mwongozo kamili kwa yeyote anayetaka kufanikiwa katika kilimo cha matunda kuanzia shambani hadi sokoni. Kinaeleza kwa njia bora za uzalishaji wa matunda, namna ya kuongeza thamani kupitia usindikaji pamoj…
About This Content
Kitabu hiki ni mwongozo kamili kwa yeyote anayetaka kufanikiwa katika kilimo cha matunda kuanzia shambani hadi sokoni. Kinaeleza kwa njia bora za uzalishaji wa matunda, namna ya kuongeza thamani kupitia usindikaji pamoja na mikakati ya kuuza na kupata faida endelevu. Kupitia kitabu hiki msomaji atajifunza namna ya kuboresha mavuno, kupunguza hasara baada ya kuvuna na kuingia kwenye masoko yenye ushindani kwa ufanisi. Kwa wakulima, wajasiriamali na wawekezaji wa sekta ya kilimo, hiki ni kitabu muhimu kitakachowasaidia kubadilisha maarifa kuwa kipato halisi.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-720-1 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 111 |
| Chapters | 20 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MATUNDA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader