ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Mwongozo wa Hifadhi Bora ya Matunda

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
Mwongozo wa Hifadhi Bora ya Matunda
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 07, 2026

Mwongozo wa Hifadhi Bora ya Matunda

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Matunda ni miongoni mwa vyakula muhimu sana kwa ustawi wa afya ya binadamu, usalama wa chakula na maendeleo ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Yanatoa virutubisho muhimu kama vitamini, madini, nyuzinyuzi …

About This Content

Matunda ni miongoni mwa vyakula muhimu sana kwa ustawi wa afya ya binadamu, usalama wa chakula na maendeleo ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Yanatoa virutubisho muhimu kama vitamini, madini, nyuzinyuzi na viongezo asilia vinavyosaidia kuimarisha kinga ya mwili na kuzuia magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza.

Publication Details

Category Agriculture
Publisher TEPU
ISBN 978-9912-76-718-8
Date Published 2026-08-07
Publication Year 2026
Pages 77
Chapters 17
Language Swahili
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content