MTOTO MTUNDU
MTOTO MTUNDU
Siima ni mtoto mtundu, lakini, mwerevu na mwenye mapenzi kwa watoto wenzie. Anayewapenda marafiki zake, Kisha na Juma. Aidha, anawapenda wazazi na walimu wake. Lakini, utundu wake unatishia kumvurugia mahusiano …
About This Content
Siima ni mtoto mtundu, lakini, mwerevu na mwenye mapenzi kwa watoto wenzie. Anayewapenda marafiki zake, Kisha na Juma. Aidha, anawapenda wazazi na walimu wake. Lakini, utundu wake unatishia kumvurugia mahusiano haya mazuri na masomo yake. Mbaya zaidi, utundu wake unatishia kukatisha maisha yake mwenyewe. Kwa upande mwingine, walimu na wazazi wanaonyesha mfano mzuri wa kuigwa katika kulea na kuelimisha watoto kwa manufaa ya taifa. Hii ni hadithi nzuri na yenye mafundisho mengi kwa watoto na inafaa kusomwa na kila mtoto na hata wazazi wao na walimu.
Publication Details
| Categories | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA, VITABU VYA WATOTO VYENYE MICHORO |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-117-5 |
| Date Published | 2025-02-04 |
| Publication Year | 2025 |
| Pages | 27 |
| Chapters | 3 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader