ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

MREMBO WA WAREMBO WA AFRIKA

by Justine Hezron Bake
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
MREMBO WA WAREMBO WA AFRIKA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

MREMBO WA WAREMBO WA AFRIKA

by Justine Hezron Bake
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Nguvu ya mwanamke ni kubwa kiasi kwamba ndiyo inaendesha maisha katika jamii yoyote. Wakati kila mwanamme anajituma na kazi kwa kutumia vipawa na vipaji vyake vyote kibunifu ili kumpata mwanamke wa ndoto yake; kila mwa…

About This Content

Nguvu ya mwanamke ni kubwa kiasi kwamba ndiyo inaendesha maisha katika jamii yoyote. Wakati kila mwanamme anajituma na kazi kwa kutumia vipawa na vipaji vyake vyote kibunifu ili kumpata mwanamke wa ndoto yake; kila mwanamke anatumia muda wake mwingi kujiremba ili apendeze vya kutosha kumvutia mwanamme mwenye uwezo binafsi wa kimwili, kiakili na kiutafutaji wa mali. Malengo hayo mawili ya kila jinsia ndiyo yanayotoa motisha na hamasa ya kufanya mambo makubwa ya kuboresha maisha hapa duniani. Na katika riwaya hii maridhawa, daktari wa upasuaji wa maumbile aliyesomea urembo na ulimbwende anatufundisha kuwa uzuri wa mwanamke mrembo huwapagawisha wanamme wote lijali, sio kwa kutaka kujifurahisha naye; bali kwa kusukumwa na silika ya ndani ya viumbe kutaka kuzaliana na mwenzi mwenye uwezo wa kutoa watoto bora watakaohimili mikikimikiki ya maisha. Kumbe, urembo wa mwanamke ni kigezo cha afya njema na uwezo wake wa kuzaa watoto. Na kiwango cha mafanikio ya mwanamme ni kipimo cha afya njema ya akili na mwili na uwezo wa kuzalisha watoto wastahimilivu wa mazingira magumu. Ukitaka kujua sababu ya wanamme kutamani mwanamke mwenye makalio makubwa, nyonga pana, kiuno nyigu, sura ya kuchongwa, shingo la upanga, na umbo la peasi au namba nane, soma Mrembo wa Warembo wa Afrika.

Publication Details

Category Riwaya
Publisher TEPU
ISBN 978-9976-58-456-1
Date Published 2025-02-20
Publication Year 2025
Pages 189
Chapters 9
Language Swahili
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content