ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

MISINGI YA KILIMO BORA

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
MISINGI YA KILIMO BORA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 20, 2026

MISINGI YA KILIMO BORA

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Ili tuweze kuleta Mapinduzi ya Kijani nchini, lazima kilimo chetu kihame kutoka Kilimo cha Mazoea ambacho kimetumika tangu mababu na mababu, karne na karne na kuwa Kilimobiashara. Hiki ni kilimo kinachotumia sayansi …

About This Content

Ili tuweze kuleta Mapinduzi ya Kijani nchini, lazima kilimo chetu kihame kutoka Kilimo cha Mazoea ambacho kimetumika tangu mababu na mababu, karne na karne na kuwa Kilimobiashara. Hiki ni kilimo kinachotumia sayansi na teknolojia ya kilimo cha kisasa. Hakitumii tena mbegu za asili bali mbegu chotara ambazo huzaa sana. Ni kilimo kinachotumia kwa wingi mbolea za viwandani na mbolea za mboji. Ni kilimo kinachotekeleza kanuni zote za kilimo cha kisasa ikiwa ni pamoja na matumizi makubwa ya maji kwa kutegemea aina ya mimea ya mazao na majira. Kitabu hiki, Misingi ya Kilimo Bora, kina misingi 20 ambayo ikieleweka na kutekelezwa na wakulima kikamilifu watakuwa wakiendesha kilimobiashara. Tunashauri Wakulima, Wanafunzi, Wanavyuo, Viongozi, Maofisa Ugani na Maofisa Kilimo wakisome na wakitumie kuleta Mapinduzi ya Kijani nchini kwa kuendesha kilimobiashara

Publication Details

Category Kilimo
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-018-3
Date Published 2018-08-20
Publication Year 2018
Pages 161
Chapters 21
Language Swahili
Keywords kilimo
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content