MFALME WA WANAYAMA
MFALME WA WANAYAMA
Mfalme wa Wanyama ni kitabu kinachoonyesha demokrasia ya kweli katika uchaguzi wa kuwapata viongozi. Kinafundisha kuwa viongozi wa juu waongoze kwa vipindi maalumu, halafu wajiuzuru ili kuwaachia viongozi wapya na wapa…
About This Content
Mfalme wa Wanyama ni kitabu kinachoonyesha demokrasia ya kweli katika uchaguzi wa kuwapata viongozi. Kinafundisha kuwa viongozi wa juu waongoze kwa vipindi maalumu, halafu wajiuzuru ili kuwaachia viongozi wapya na wapatikane kwa njia ya uchaguzi ulio huru. Hata Mfalme hapaswi kukaa madarakani mpaka afariki. Kiongozi anayemaliza muda wake anatakiwa asimamie uchaguzi mpya ili mabadiliko ya viongozi yawe kwa utulivu na yafuate sheria na taratibu zilizopo. Katika kitabu hiki, Mfalme aliyepo madarakani, Mheshimiwa Tembo, amestaafu, maana kipindi chake cha uongozi wake kimemalizika. Lakini, anasimamia uchaguzi mpya. Wanyama wote wameitwa katika Mkutano wa Uchaguzi. Walioomba kuchaguliwa kuwa Mfalme wanajitokeza mmojammoja mbele ya wapiga kura na kujieleza. Hatimaye kura zinapigwa na Mfalme mpya anapatikana. Katika kitabu hiki, mbali na watoto kujifunza demokrasia katika uchaguzi, watajifunza pia sura, sifa na tabia za baadhi ya wanyama tulio nao nchini
Publication Details
| Categories | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA, VITABU VYA WATOTO VYENYE MICHORO |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-105-2 |
| Publication Year | 2013 |
| Pages | 18 |
| Chapters | 1 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader