MBUGA ZA TAIFA TANZANIA
MBUGA ZA TAIFA TANZANIA
Mbuga za Taifa Tanzania ni kitabu kinachoonyesha uzuri wa kipekee wa Tanzania kupitia mbuga zake za taifa zilizojaa hazina ya wanyamapori, mandhari ya kuvutia na urithi wa asili usio na kifani. Mbuga hizi ni kivutio kik…
About This Content
Mbuga za Taifa Tanzania ni kitabu kinachoonyesha uzuri wa kipekee wa Tanzania kupitia mbuga zake za taifa zilizojaa hazina ya wanyamapori, mandhari ya kuvutia na urithi wa asili usio na kifani. Mbuga hizi ni kivutio kikubwa cha watalii kutoka duniani kote na nguzo muhimu ya uchumi wa taifa kupitia mapato ya utalii, ajira na maendeleo ya jamii. Kitabu hiki kinaonyesha mbuga za Taifa la Tanzania, umuhimu wake katika uhifadhi wa mazingira na nafasi yake katika kukuza sekta ya utalii. Kipitia kitabu hiki, utaweza kupata shauku ya kuenzi, kulinda na kutangaza urithi huu adhimu kwa vizazi vya leo na kesho.
Publication Details
| Category | Utalii |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-722-5 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 75 |
| Chapters | 14 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MBUGA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader