ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KILIMO CHA KISASA

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KILIMO CHA KISASA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 20, 2026

MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KILIMO CHA KISASA

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Maswali na Majibu kuhusu kilimo cha Kisasa ni kitabu chenye maswali 243 na Majibu yake. Kimetungwa kwa kuzingatia Muhtasari wa Kilimo kwa Shule za Msingi. Kwa sababu hii kitawafaa wanafunzi wa shule za msingi kwa mareje…

About This Content

Maswali na Majibu kuhusu kilimo cha Kisasa ni kitabu chenye maswali 243 na Majibu yake. Kimetungwa kwa kuzingatia Muhtasari wa Kilimo kwa Shule za Msingi. Kwa sababu hii kitawafaa wanafunzi wa shule za msingi kwa marejeo ya haraka, hasa mazoezi na maandalizi ya mitihani yao. Kwa vile kilimo ni Sayansi, kitawafaa pia, wanafunzi wa shule za Sekondari, Vyuo vya Kilimo, Vyuo vya ualimu, Walimu, Viongozi na Maofisa Ugani. Pia, kitabu hiki kinaelezea kwa muhtasari na kwa ufasaha kanuni za kilimo bora, Zana za Kilimo, Sayansi ya Udongo, Elimu ya Mimea ya mazao, Ukuzaji na Uzalishaji wa Mifugo, Ufugaji wa Nyuki, Ufugaji wa Samaki, Elimu ya Misitu, Uchumi na Uzalishaji maji na Umwagiliaji.

Publication Details

Category Kilimo
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-67-155-7
Date Published 2015-06-24
Publication Year 2015
Pages 92
Chapters 11
Language Swahili
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content