MARAFIKI WA AJABU
MARAFIKI WA AJABU
Marafiki wa Ajabu ni hadithi inayozungumzia Vita iliyoanzishwa na Kiongozi katili wa nchi ya Bubi dhidi ya nchi ya Kalimi. Vita hiyo ilisababisha mkanganyiko kwa wananchi wa Kalimi. Wanadamu, ndege, wadudu na wany…
About This Content
Marafiki wa Ajabu ni hadithi inayozungumzia Vita iliyoanzishwa na Kiongozi katili wa nchi ya Bubi dhidi ya nchi ya Kalimi. Vita hiyo ilisababisha mkanganyiko kwa wananchi wa Kalimi. Wanadamu, ndege, wadudu na wanyama walikimbia makazi yao kutokana na mizinga iliyokuwa ikipigwa kutoka Bubi. Asimwe na Namara ni miongoni mwa watoto waliokimbia. Walikimbia kwa siku tatu mfululizo hadi kwenye msitu wa Mnene. Wakaishi pangoni na nyani. Wakazoeana nao na kuwa marafiki. Je, walielewanaje? Walipataje chakula na maji? Na hatima yao ilikuwaje? Majibu ya maswali haya pamoja na mengine utayapata ndani ya kitabu hiki.
Publication Details
| Category | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-137-3 |
| Date Published | 2026-02-03 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 30 |
| Chapters | 4 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader