Book
Mapambano ya Wadudu na Binadamu
Book
Purchase + Subscription
2000 TZS
Mapambano ya Wadudu na Binadamu
Book
Purchase + Subscription
2000 TZS
Mapambano ya Wadudu na Binadamu ni kitabu kinachosimulia kuhusu mkutano wa wadudu mbali-mbali. Wadudu hao wamekusanyika katikati ya kichaka. Lengo lao ni kuweka mikakati ya kupambana na binadamu. Je, ni mikakati …
About This Content
Mapambano ya Wadudu na Binadamu ni kitabu kinachosimulia kuhusu mkutano wa wadudu mbali-mbali. Wadudu hao wamekusanyika katikati ya kichaka. Lengo lao ni kuweka mikakati ya kupambana na binadamu. Je, ni mikakati gani hiyo? Ni wadudu gani hao? Binadamu amewakosea nini? Ni nani ataongoza mapambano hayo?
Publication Details
| Categories | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA, VITABU VYA WATOTO VYENYE MICHORO |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-106-9 |
| Date Published | 2013-05-06 |
| Publication Year | 2013 |
| Pages | 24 |
| Chapters | 1 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader