MAJUKUMU YA VIONGOZI WA KITONGOJI, MTAA, KIJIJI NA KATA
MAJUKUMU YA VIONGOZI WA KITONGOJI, MTAA, KIJIJI NA KATA
Kwa upande mwingine, Kiongozi au Ofisa yeyote wa Serikali hapa nchini, alichaguliwa au kuteuliwa kwa kutumia Sheria. Kazi zake zimetajwa ndani ya Sheria husika na yeye anapaswa azitekeleze kwa kufuata…
About This Content
Kwa upande mwingine, Kiongozi au Ofisa yeyote wa Serikali hapa nchini, alichaguliwa au kuteuliwa kwa kutumia Sheria. Kazi zake zimetajwa ndani ya Sheria husika na yeye anapaswa azitekeleze kwa kufuata Sheria, kanuni na taratibu rasmi zilizowekwa. Huu ndio unaitwa Utawala wa Sheria. Lengo ni kudumisha Haki, Amani na Uhuru wa raia. Kwa hiyo, iwapo Utawala wa Sheria hautafuatwa, matokeo yake yatakuwa ni kero kwa wananchi wanaoongozwa. Kitabu hiki kina sura 8 ambazo zinazungumzia majukumu ya Mwenyekiti wa Kitongoji,Mwenyekiti wa Mtaa,Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji,Ofisa Mtendaji wa Kijiji, Halmashauri ya Kijiji,Ofisa Mtendaji wa Kata, Diwani na Madaraka ya Jumla.
Publication Details
| Category | SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-42-623-2 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2015 |
| Pages | 105 |
| Chapters | 8 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MAJUKUMU |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader