Maisha na Ujasiri wa Mjane
Maisha na Ujasiri wa Mjane
Kitabu hiki kinaonyesha ujasiri wa mjane tangu akiwa mtoto, kijana, mwanandoa, mwanachuo, mwalimu, mjane, muumini wa dini yake, mzazi na mstaafu kazini.Kwa muhtasari, kitabu kinamwonyesha alivyomkubali “baba mlezi” ili…
About This Content
Kitabu hiki kinaonyesha ujasiri wa mjane tangu akiwa mtoto, kijana, mwanandoa, mwanachuo, mwalimu, mjane, muumini wa dini yake, mzazi na mstaafu kazini.Kwa muhtasari, kitabu kinamwonyesha alivyomkubali “baba mlezi” ili kutii mila na aweze kusoma,alivyompenda mama yake akaamua aolewe akiwa na umri wa miaka 16 ili apate uwezo wa kumtunza ,alivyokataa kuolewa alipofiwa na mume wake akiwa na umri wa miaka 37 ili aweze kuwatunza na kuwasomesha wanaye,alivyoweza kuhimili mikikimikiki na majaribu mbalimbali akiwa , mama wa watoto wanne, bibi, mwalimu, mwanamke na mwanajamii. Dhahiri ni mpambanaji na jasiri. Kwa vile, kila mwanamke ni mjane mtarajiwa, kitabu hiki kina mafunzo mengi kwenu, kisomeni. Na kwa vile, kila mwanaume ni mgane mtarajiwa, ni busara asome kitabu hiki.
Publication Details
| Category | WASIFU NA TAWASIFU WA WATU MASHUHURI WA KAGERA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-42-621-8 |
| Publication Year | 2015 |
| Pages | 183 |
| Chapters | 40 |
| Language | Swahili |
| Keywords | maisha |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader