ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Magonjwa Yanayotokana na Unene Uliokithiri Unene uliokithiri

by Rachel W. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
Magonjwa Yanayotokana na Unene Uliokithiri Unene uliokithiri
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 18, 2026

Magonjwa Yanayotokana na Unene Uliokithiri Unene uliokithiri

by Rachel W. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Magonjwa Yanayotokana na Unene Uliokithiri Unene uliokithiri si suala la mwonekano tu ni changamoto kubwa ya kiafya inayoweza kuathiri maisha ya mtu. Kitabu hiki kinachambua kwa uwazi na kwa lugha rahisi namna unene ul…

About This Content

Magonjwa Yanayotokana na Unene Uliokithiri Unene uliokithiri si suala la mwonekano tu ni changamoto kubwa ya kiafya inayoweza kuathiri maisha ya mtu. Kitabu hiki kinachambua kwa uwazi na kwa lugha rahisi namna unene uliopitiliza unavyoweza kusababisha magonjwa mbalimbali pamoja na athari zake kwa mwili n.k. Kupitia kitabu hiki, msomaji atajifunza kuhusu magonjwa yanayohusiana na unene kama vile shinikizo la damu, kisukari, matatizo ya moyo na mengine mengi. Pia, kitabu hiki kinatoa mwanga juu ya sababu za msingi zinazopelekea unene uliokithiri na hatua madhubuti za kujikinga na kudhibiti hali hiyo. Kwa yeyote anayejali afya yake, familia yake au jamii kwa ujumla, kitabu hiki ni cha muhimu kwake maana kinatoa maarifa yatakayokusaidia kuchukua hatua sahihi kuelekea maisha yenye afya bora.

Publication Details

Category AFYA NA UHAI
Publisher TEPU
ISBN 978-9912-76-74
Date Published 2026-06-23
Publication Year 2026
Pages 42
Chapters 28
Language Swahili
Keywords UNENE ULIOKITHIRI
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content