ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Magonjwa ya Figo

by Mariapia Niy'Imbona
Book Purchase + Subscription 2500 TZS
Magonjwa ya Figo
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

Magonjwa ya Figo

by Mariapia Niy'Imbona
Book Purchase + Subscription 2500 TZS

Magonjwa ya figo yanaendelea kuwa tishio kubwa kwa afya ya jamii duniani, yakichangia ongezeko la vifo na gharama za matibabu kila mwaka. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa umakini mkubwa ili kutoa uelewa wa kina kuhusu afy…

About This Content

Magonjwa ya figo yanaendelea kuwa tishio kubwa kwa afya ya jamii duniani, yakichangia ongezeko la vifo na gharama za matibabu kila mwaka. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa umakini mkubwa ili kutoa uelewa wa kina kuhusu afya ya figo na magonjwa yanayoathiri mfumo huu muhimu wa mwili. Aidha, kitabu hiki kinaeleza kwa undani muundo na kazi za figo, mchakato wa maendeleo ya magonjwa ya figo pamoja na mbinu za kisasa za uchunguzi, tiba na kinga. Kinaangazia mchango wa magonjwa sugu kama kisukari na shinikizo la damu katika kuathiri figo na kutoa mwongozo mahsusi wa kudhibiti vihatarishi hivyo.

Publication Details

Category AFYA NA UHAI
Publisher TEPU
ISBN 978-9-912-76712-6
Publication Year 2026
Pages 155
Chapters 34
Language Swahili
Keywords afya,magonjwa,health,kuambukiza
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content