ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

MABARAZA NA MAHAKAMA ZA ARDHI TANZANIA

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2500 TZS
MABARAZA NA MAHAKAMA ZA ARDHI TANZANIA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

MABARAZA NA MAHAKAMA ZA ARDHI TANZANIA

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2500 TZS

Ardhi ni rasilimali ambayo haiongezeki, lakini, idadi ya watu wa sehemu yoyote inaongezeka kila sekunde. Kwa hiyo, mahitaji ya ardhi yanazidi kuongezeka kila kukicha. Kwa sababu hii, dhuluma na migogoro ni mambo amba…

About This Content

Ardhi ni rasilimali ambayo haiongezeki, lakini, idadi ya watu wa sehemu yoyote inaongezeka kila sekunde. Kwa hiyo, mahitaji ya ardhi yanazidi kuongezeka kila kukicha. Kwa sababu hii, dhuluma na migogoro ni mambo ambayo hayaepukiki. Kwa kutambua ukweli huu, sheria ilitungwa ya kuanzisha Mabaraza na Mahakama za Ardhi. Jukumu lake ni kusikiliza na kuamua mashauri yanayofunguliwa juu ya malalamiko na migogoro ya ardhi nchini. Kwa vile, kila mtu hawezi kukwepa kumiliki kipande cha ardhi maishani mwake, na, kwa hiyo, kujikuta katika uwezekano wa kudhulumiwa au kudhulumu, au kujikuta ndani ya mgogoro wa aina fulani wa ardhi, ni muhimu kukisoma kitabu hiki ili kujifunza namna ya kutetea haki yake katika kipande cha ardhi anachokitumia au unachokimiliki. Hiki ni kitabu cha lazima kwa wananchi wote, viongozi wa ngazi mbalimbali, (wa Vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya na Mikoa), Wajumbe wa Baraza na Mahakama za Ardhi, Wanasheria, Mawakili na Mahakimu nchini.

Publication Details

Category SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-074-9
Date Published 2026-08-06
Publication Year 2018
Pages 136
Chapters 7
Language Swahili
Keywords ARDHI
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content