Kutengeneza na Kutumia Mboji katika Kilimo
Kutengeneza na Kutumia Mboji katika Kilimo
Kitabu hiki kinahusu mbolea za asili. Mbolea za asili hutokana na viumbe hai, yaani, wanyama na mimea. Virutubisho vilivyo katika mbolea hizi vilitumika kwanza katika kustawisha mimea hiyo au katika kulisha wanyam…
About This Content
Kitabu hiki kinahusu mbolea za asili. Mbolea za asili hutokana na viumbe hai, yaani, wanyama na mimea. Virutubisho vilivyo katika mbolea hizi vilitumika kwanza katika kustawisha mimea hiyo au katika kulisha wanyama hao. Mbolea za asili kwa pamoja huitwa Mboji. Kitabu hiki kinahusu mbolea za asili na jinsi ya kurutubisha ardhi ya kilimo bila kutumia mbolea za viwandani. Maelezo hayo ni pamoja na maelezo ya msingi yanayozihusu, jinsi ya kuzitengeneza na kuzitumia bila gharama kubwa na bila uharibifu kwa mimea na udongo wenyewe.
Publication Details
| Category | Agriculture |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-181-6 |
| Publication Year | 2014 |
| Pages | 54 |
| Chapters | 7 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Kutumia Mboji katika Kilimo |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader