ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

KUTATHMINI MALI NA MAKOSA YA UHARIBIFU WAKE

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2500 TZS
KUTATHMINI MALI NA MAKOSA YA UHARIBIFU WAKE
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

KUTATHMINI MALI NA MAKOSA YA UHARIBIFU WAKE

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2500 TZS

Katika kitabu hiki, Kuthathmini Mali na Makosa ya Uharibifu Wake, mwandishi anatumia Sheria za nchi hii na hukumu za kesi zilizokwishaamriwa kuwaelimisha wasomaji, hasa, wananchi wa kawaida na viongozi wa wao, kuhus…

About This Content

Katika kitabu hiki, Kuthathmini Mali na Makosa ya Uharibifu Wake, mwandishi anatumia Sheria za nchi hii na hukumu za kesi zilizokwishaamriwa kuwaelimisha wasomaji, hasa, wananchi wa kawaida na viongozi wa wao, kuhusu elimu ya Kutathmini Mali ambazo ni majengo, mazao yaliyo kwenye ardhi, mifugo na maendelezo kwenye ardhi yenyewe. Mwandishi anaanza kwa kueleza maana ya tathmini na nani anapaswa kufanya kazi ya kutathmini mali hiyo ili ushahidi wake uweze kupokelewa mahakamani. Kitabu kinaeleza Sifa za Mtathmini, Vigezo vya Kutathmini, Utathmini wa Mazao shambani, Tathmini ya thamani kwa Mdai anayetaka kufidia shamba; Mali iliyoko-mbolea; Utaratibu wa fidia chini ya Sheria ya Ardhi; Utaratibu wa kuwakilisha tathmini mahakamani na Hadhi ya ushahidi mtaalamu mahakamani. Aidha, kitabu kinaeleza juu ya Makosa yanayohusu Uharibifu wa Mali.

Publication Details

Category SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-086-2
Date Published 2026-08-06
Publication Year 2018
Pages 55
Chapters 2
Language Swahili
Keywords TATHMINI
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content