JIFUNZE KUSTAWISHA MAHARAGE YA SOYA
JIFUNZE KUSTAWISHA MAHARAGE YA SOYA
Maharage ya Soya yana protini, mafuta, wanga mwingi, madini ya vitamini A,B,D na E. Unga wa soya unaweza kutumika kutengeneza vyakula mbalimbali kama vile ugali, maziwa, chapati na mikate. Kwa hakika maharage ya soy…
About This Content
Maharage ya Soya yana protini, mafuta, wanga mwingi, madini ya vitamini A,B,D na E. Unga wa soya unaweza kutumika kutengeneza vyakula mbalimbali kama vile ugali, maziwa, chapati na mikate. Kwa hakika maharage ya soya ni chakula cha matajiri na wananchi wa kawaida. Aidha, maharage ya soya ni malighafi ya viwanda vingi. Vilevile, soya ni zao la fedha. Tatizo ni namna ya kulistawisha vizuri zaidi. Kitabu hiki chenye sura sita kitawafundisha wasomaji namna ya kulistawisha na kulitayarisha.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-42-628-7 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2020 |
| Pages | 42 |
| Chapters | 6 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MAHARAGE |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader