IJUE WILAYA YA KYERWA
IJUE WILAYA YA KYERWA
Kitabu hiki ni mwongozo kamili kinaelezea rasilimali na fursa zilizopo katika wilaya hii yenye heshima mkoani Kagera. Pia, kitabu hiki ni muhimu kwa wakulima, wafanyabiashara, watafiti, wanafunzi, wasimamizi wa serikali…
About This Content
Kitabu hiki ni mwongozo kamili kinaelezea rasilimali na fursa zilizopo katika wilaya hii yenye heshima mkoani Kagera. Pia, kitabu hiki ni muhimu kwa wakulima, wafanyabiashara, watafiti, wanafunzi, wasimamizi wa serikali na watalii wanaopenda kufahamu historia, utamaduni, kilimo, ufugaji, madini, biashara, utalii na maendeleo ya jamii ya Kyerwa. Kitabu hiki siyo tu kinatoa taarifa, bali ni mwongozo wa kuendeleza Wilaya ya Kyerwa kwa ustawi wa wananchi, uchumi thabiti na maendeleo endelevu. Ni chanzo cha maarifa kwa kila mtu anayetaka kuelewa na kushirikiana na wilaya hii yenye rasilimali nyingi na wananchi wachapakazi.
Publication Details
| Category | VITABU VYA MIKOA NA WILAYA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-731-7 |
| Date Published | 2026-08-19 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 107 |
| Chapters | 21 |
| Language | Swahili |
| Keywords | VITABU VYA MIKOA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader