ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

by Pius Msekwa
Book Purchase + Subscription 2500 TZS
Historia ya Muungano  wa Tanganyika na Zanzibar
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 07, 2026

Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

by Pius Msekwa
Book Purchase + Subscription 2500 TZS

Kitabu kilichosheheni historia ya Muungano wetu, kwani ndani yamo mambo mengi mapya ambayo hayajawahi kuandikwa wala kusimuliwa. Kwa sababu hiyo, hiki ni kitabu muhimu kwa Watanzania wote, hususan, wale wa kizazi …

About This Content

Kitabu kilichosheheni historia ya Muungano wetu, kwani ndani yamo mambo mengi mapya ambayo hayajawahi kuandikwa wala kusimuliwa. Kwa sababu hiyo, hiki ni kitabu muhimu kwa Watanzania wote, hususan, wale wa kizazi kipya, ikiwa ni pamoja na wanafunzi waliomo katika Shule za Msingi na za Sekondari na hata wa Vyuo Vikuu; yanayowasaidia kuelewa vizuri zaidi sababu halisi zilizopelekea kuunganishwa kwa nchi hizi mbili, na vilevile, kwanini Muungano huu umeweza kudumu kwa zaidi ya miaka 55, na bado unaendelea kuimarika.

Publication Details

Categories Siasa, Uongozi
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-092-3
Publication Year 2026
Pages 77
Chapters 7
Language Swahili
Keywords siasa,uongozi,maendeleo
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content