FAIDA ZA MADINI NA VITAMINI KWA AFYA YA BINADAMU
FAIDA ZA MADINI NA VITAMINI KWA AFYA YA BINADAMU
Kitabu hiki kinaelezea kwa kina umuhimu wa madini na vitamini katika mwili wa binadamu, kikizingatia mazingira na vyakula muhimu kwa ajili ya afya ya mwanadamu. Kinafafanua aina mbalimbali za vitamini na madini, kazi za…
About This Content
Kitabu hiki kinaelezea kwa kina umuhimu wa madini na vitamini katika mwili wa binadamu, kikizingatia mazingira na vyakula muhimu kwa ajili ya afya ya mwanadamu. Kinafafanua aina mbalimbali za vitamini na madini, kazi zake mwilini, vyanzo vyake vya asili pamoja na madhara yanayotokana na upungufu wake. Kupitia maelezo ya kitaalamu yaliyo ndani ya kitabu hiki, msomaji atajifunza jinsi ya kupanga lishe bora kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili, kuzuia magonjwa yanayotokana na upungufu wa virutubisho na kuboresha afya kwa ujumla. Kitabu hiki ni mwongozo muhimu kwa wanafunzi, wazazi, walimu na jamii yote inayotaka kuwa na uelewa sahihi wa lishe bora kwa maendeleo ya afya na taifa kwa ujumla.
Publication Details
| Categories | Afya, AFYA NA UHAI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-42-607-2 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 81 |
| Chapters | 23 |
| Language | Swahili |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader