ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Changamoto za Maendeleo ya Mkoa wa Kagera

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
Changamoto za Maendeleo ya Mkoa wa Kagera
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 07, 2026

Changamoto za Maendeleo ya Mkoa wa Kagera

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa Hotuba 54 na Salaam 21 za Heri na Baraka za Iddi, Noeli na Mwaka Mpya alizozitoa mwandishi (pichani) alipokuwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ziwa Magharibi Kagera kwa vipi…

About This Content

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa Hotuba 54 na Salaam 21 za Heri na Baraka za Iddi, Noeli na Mwaka Mpya alizozitoa mwandishi (pichani) alipokuwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ziwa Magharibi Kagera kwa vipindi vitano vyenye miaka 25 (1977 – 1997 na 2002 – 2007). Alianza uongozi huo 21/9/1977 akiwa na miaka 34 ya kuzaliwa na kung’atuka 10/9/2007 akiwa na miaka 64. Kipindi cha 1995 – 2000 alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ngara. Uongozi wake wa kisiasa ulianzia kwenye Uenyekiti wa Tawi la TANU, 1974 Kitabu hiki si kumbukumbu tu, bali yaliyomo bado yana umuhimu wake, hata sasa utekelezaji wake bado haujakamilika. Kitabu hiki ni rejeo muhimu na ni cha lazima kwa wanasiasa wa nchi hii na Watanzania kwa jumla. Mwandishi ni maarufu nchini kutokana na uongozi wake wa kisiasa wa miaka 33. Ndugu Ngeze anajidhihirisha kitabuni kama mwanasiasa makini na mwenye msimamo usioyumba na mwenye mapenzi makubwa kwa watu wake na nchi yake.

Publication Details

Category Siasa
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-006-0
Publication Year 2024
Pages 383
Chapters 61
Language Swahili
Keywords Changamoto Mkoa Kagera
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content