ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

CHAKULA NI UHAI

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
CHAKULA NI UHAI
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

CHAKULA NI UHAI

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Kitabu hiki, Chakula ni Uhai na Chanzo Kikuu cha Migogoro ya Kiafya na Vifo vya Mapema, linafurahisha, lakini, pia linashtua na kufundisha wasomaji wake. Ni kweli, Chakula ni Uhai, maana kina kazi zake maalum katika mii…

About This Content

Kitabu hiki, Chakula ni Uhai na Chanzo Kikuu cha Migogoro ya Kiafya na Vifo vya Mapema, linafurahisha, lakini, pia linashtua na kufundisha wasomaji wake. Ni kweli, Chakula ni Uhai, maana kina kazi zake maalum katika miili ya binadamu. Hata hivyo, kitakuwa cha Uhai kama kitaandaliwa vizuri, kitapikwa vizuri na kuliwa kwa kufuata kanuni bora nane za ulaji wa mlo kamili. Kwa upande mwingine, kitakuwa “Chanzo kikuu cha Migogoro ya Kiafya na Vifo vya Mapema,” iwapo kitakiuka kanuni hizo zinachoki fanya kilete afya njema na Uhai. Hii ni pamoja na kuharibiwa wakati wa maandalizi yake, mapishi yake na kuliwa vibaya. Chakula ni Chanzo cha magonjwa mengi yasiyoambukiza, yaani, magonjwa ya moyo, kisukari, figo, shinikizo la juu la damu n.k. Kwa hakika, upo msemo maarufu kuwa “Jinsi ulivyo, ni matokeo ya chakula unachokula na vinywaji unavyotumia.” Tunapendekeza kitabu hiki kisomwe na watu wote wanaotamani kuwa na afya njema na maisha marefu yenye furaha.

Publication Details

Category Cooking & Food
Publisher TEPU
ISBN 978-9-987-07095-4
Date Published 2025-08-31
Publication Year 2025
Pages 104
Chapters 18
Language Swahili
Keywords MAPISHI
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content