ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

BINADAMU NI ROHO NA MWILI

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
BINADAMU NI ROHO NA MWILI
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 17, 2026

BINADAMU NI ROHO NA MWILI

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Jina la kitabu hiki, Binadamu ni Roho na Mwili, na jina dogo, Kifo ni Fumbo, Kifo kina Faida pia na Si Mwisho, kwa kupitia Sura zake 7 kinahifadhi elimu mpya kwa wasomaji wengi ambao hawakujifunza Theolojia. Kitabu kina…

About This Content

Jina la kitabu hiki, Binadamu ni Roho na Mwili, na jina dogo, Kifo ni Fumbo, Kifo kina Faida pia na Si Mwisho, kwa kupitia Sura zake 7 kinahifadhi elimu mpya kwa wasomaji wengi ambao hawakujifunza Theolojia. Kitabu kinamchambua binadamu kwa undani na kumwonyesha alivyo maalum. Kitabu kinaeleza Asili ya Binadamu kwa mujibu wa Sayansi na kwa mujibu wa Biblia takatifu na Quran tukufu. Kinaelimisha juu ya Elimunafsia, sehemu mbili za Maisha ya Binadamu, Sehemu Kuu mbili za Binadamu, yaani, Mwili na Ufahamu. Ufahamu nao una sehemu tano, yaani, Akili, Roho, Mwili, Nguvu na Nafsi. Sehemu zote hizi zina kazi maalum ndani ya Binadamu. Kitabu kinaeleza kuwa Binadamu ni Roho na Mwili. Roho inaishi katika mwili ulio hai. Binadamu bila Roho si binadamu tena, ni marehemu, ni kasha lililo tupu. Aidha, kitabu kina Sura juu ya Uhusiano uliopo kati ya Roho, Nafsi na Mwili. Sura ya mwisho inahusu Yesu Kristo kulia kwa kifo cha Rafiki yake Lazaro. Kitabu hiki ni moja ya vitabu vitakavyochapishwa na kampuni hii chin ya mfululizo wa “Uchimbaji Elimu ya Dini.” Ni matumaini yetu kuwa wasomaji wa kitabu hiki, wataongeza elimu yao kuhusu uumbaji wa Mungu wa binadamu. Kati ya Viumbe vyote vyake, ni binadamu tu aliyepewa upendeleo maalum kwa kuumbwa kwa mfano wake.

Publication Details

Categories DINI NA IMANI, Religion & Spirituality
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-096-1
Date Published 2026-08-25
Publication Year 2024
Pages 51
Chapters 7
Language Swahili
Keywords Binadamu ni Roho na Mwili
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content