Bila Hiyari Yangu
Bila Hiyari Yangu
Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu ni hadithi fupi ambayo wahusika wake wakuu, Ruga na Basika, waliishi na kulelewa na baba yao.Mama yao alifariki mapema. Baba yao aliwalea vizuri. Aidha, aliwaasa wanaye hao ni kaya zipi…
About This Content
Asiyesikia la Mkuu huvunjika Guu ni hadithi fupi ambayo wahusika wake wakuu, Ruga na Basika, waliishi na kulelewa na baba yao.Mama yao alifariki mapema. Baba yao aliwalea vizuri. Aidha, aliwaasa wanaye hao ni kaya zipi watembelee na zipi wasitembelee kijijini Bunu. Hii ilitokana na Nunda Mla Watu aliyeishi kijijini pale. Siku moja baba yao alisafiri, huko nyuma Basika alimshawishi mdogo wake waende kuona mandhari ya kijiji. Ruga alimsihi kaka yake wasiende lakini Basika akakaidi. Akaelekea kijijini na kukutana na Nunda. Je, ni yapi yalimsibu Basika?
Publication Details
| Categories | Fiction, HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-178-6 |
| Date Published | 2021-03-22 |
| Publication Year | 2021 |
| Pages | 12 |
| Chapters | 1 |
| Language | Swahili |
| Keywords | General Fiction |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader